Share
“Hili linaweza kufanyika kwa yeyote kati yetu_ Huu ni mchezo wa kuigiza ambao umeandaliwa na kupeperushwa na redio 40 za jamii nchini Kenya. Mchezo huu unahusu ,masaibu wanayopitia wakimbizi wa ndani kwa ndani na vile na vilevile wa kutoka nchi za kigeni. Mchezo huu unanuia kujuza na kuelimisha umma kuwa masaibu haya yanawezakumwathiri yeyote. Je,Mkimbizi wa ndani kwa ndani ni nani? Ni sababu zipi zinazopelekea kufurushwa kwa watu? Je,wakimbizi wana haki gani? Maswala haya na mengineyo yamejadiliwa katika mchezo huu. Burudika!